Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,752
Ni kweli kamanda lakini magufuli anafanya kwa shinikizo la chama, huoni chama kimekaakaa kama kikundi cha waimba taarabu..!?
Chama kimemtuma akapige push up??Ni kweli kamanda lakini magufuli anafanya kwa shinikizo la chama, huoni chama kimekaakaa kama kikundi cha waimba taarabu..!?
Jana katika mkutano wa kampeni wa mbunge wa Musoma anayesubiriwa kurudi mjengoni tena Kamanda Vicent Nyerere hapa Musoma alitoa kali ya mwaka kwa kumchana Magufuli aache ulimbukeni wa kisiasa majukwaani.
Kamanda Nyerere alisema kimsingi Presidential material hatakiwi kujibu kila tuhuma anazorushiwa.
Akitolea mfano alisema Magufuli alipotaniwa kidogo tu kuhusu afya yake akapiga Push-up jukwaani, alipoulizwa kuhusu Mke wake kutoonekana majukwaani akampandisha jukwaani akilalamika yeye si BACHELA, alipoona mwezie anajichanganya uswazi akakimbilia kupika UGALI, akawauliza mafuriko waliojitokea vipi kama akitaniwa HAJARAHIRIWA atafanya nini????
Amemtaka Magufuli kujifunza kutoka kwa mgombea mwenzake Kamanda Eddo ambaye huwa hajibu kila kitu, na hio ndio hekima ya Presidential Material.
Kamanda Nyerere leo karuka na chopa na atakua Bukoba kuendelea na kampeni za Ukawa kwani wana Musoma wamemwambia hana haja ya kupiga kampeni jimboni kwake, wanasubiri tu amlete Eddo hiyo tarehe 10 hapa Musoma.
Viva NYERERE, viva UKAWA,
Ni kweli kamanda lakini magufuli anafanya kwa shinikizo la chama, huoni chama kimekaakaa kama kikundi cha waimba taarabu..!?
Jana katika mkutano wa kampeni wa mbunge wa Musoma anayesubiriwa kurudi mjengoni tena Kamanda Vicent Nyerere hapa Musoma alitoa kali ya mwaka kwa kumchana Magufuli aache ulimbukeni wa kisiasa majukwaani.
Kamanda Nyerere alisema kimsingi Presidential material hatakiwi kujibu kila tuhuma anazorushiwa.
Akitolea mfano alisema Magufuli alipotaniwa kidogo tu kuhusu afya yake akapiga Push-up jukwaani, alipoulizwa kuhusu Mke wake kutoonekana majukwaani akampandisha jukwaani akilalamika yeye si BACHELA, alipoona mwezie anajichanganya uswazi akakimbilia kupika UGALI, akawauliza mafuriko waliojitokea vipi kama akitaniwa HAJARAHIRIWA atafanya nini????
Amemtaka Magufuli kujifunza kutoka kwa mgombea mwenzake Kamanda Eddo ambaye huwa hajibu kila kitu, na hio ndio hekima ya Presidential Material.
Kamanda Nyerere leo karuka na chopa na atakua Bukoba kuendelea na kampeni za Ukawa kwani wana Musoma wamemwambia hana haja ya kupiga kampeni jimboni kwake, wanasubiri tu amlete Eddo hiyo tarehe 10 hapa Musoma.
Viva NYERERE, viva UKAWA,
kile ni chama cha wasanii ila wanaogopa kubadili jina. kilitakiwa kiitwe ccu
Ndakutebhya ego,MTAKUWA WATUMWA WA MTEI NA MBOWE MPAKA YESU ARUDI.Mpaka najuta kusema natokea MARA siku hizi.
Muache JPM ajibu mapigo kwani uongo ukisemwa sana usipojibiwa hudhaniwa kuwa ni ukweli.
Sasa hayo ya upande wa pili Kama anaweza kupiga push-up au kurukaruka kuonesha yuko fit Mimi sina majibu.
Queen Esther
ccu, kirefu chake ni nini
kumbe maguguli hajatailiwa duh
vicent hana akili,ile picha ya magufuli akisonga ugali ni kabla ya kampeini,,,,,inaonekana vicent ni mpayukaji tu
ccu, kirefu chake ni nini