Kwani maneno hayo maana yake ni nini? Mimi mtu wa kwanza kuskia anaimba hiko kibwagizo ni awilo longomba, ila nahisi kuna wimbo wa defao pia uko na hiko kibwagizo kama sijakosea.
Kwani maneno hayo maana yake ni nini? Mimi mtu wa kwanza kuskia anaimba hiko kibwagizo ni awilo longomba, ila nahisi kuna wimbo wa defao pia uko na hiko kibwagizo kama sijakosea.
Yeah sure, madilu pia aliwahi kuomba hiko kibwagizo... Ni nini maana ya hayo maneno? Labda ukijua maana yake ndio itakua rahisi kujua sababu ya kupendwa
Siyo bolingo za wakongo man tuu, hata hapa mbona maneno yanarudiarudia kwa kiswahili hujauliza?
Kila siku utasikia..
CCM ni ileileee oooh ni ileileee
Wapinzani wanaisoma nambaaaaa oooh wanaisomaaa...
CCM oyeeee!
Wanarudia sana.