Habari wanajamii forum poleni na kazi za ujenzi wa taifa.naenda straight to the point Kuna mdada mmoja nilikuwa namuelewa lakini kipindi hicho bado nilikuwa masomoni I mean sekondari .nikapiga moyo konde nikimaliza masomo nitamueleza ukweli.miaka ikasonga wote tukabahatika kuingia chuo kikuu. Sasa nikamtongoza mara ya Kwanza akanikataa..ila nikasema in life never give up..mpaka Mara ya tatu ndipo nikapewa jibu ambalo sitosahau maisha "Kaka Asante kwa kunipenda,ila Sina hisia I mean feeling na wewe" Aiseee nilijisikia vibaya ..hivyo now nimeamua kukaa benchi na kusoma mchezo..mapenzi waachie wenye pesa tu..lakini nanyi wadada muwe na majibu mazuri basi..kupendwa sio dhambi Asante...