Vibration machine

Vibration machine

legend07

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
333
Reaction score
137
Ninauza mashine ya tofali za block, inatoa tofali mbili za inch tano, inatumia umeme na nitakupa na mota yake, bei 2.2m majadiliano yapo pia kwa mteja wa uhakika.
 
hahaha nilichodhani nitakikuta huku ni tofauti kabisa
 
Hehehe wazee wa x mlikuwa mmefika kiunoni tayari... Wenzenu wapo kichwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom