Vibonzo vya leo 08/04/2016

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,559
12,324
Fedha za sherehe za Muungano
ImageUploadedByJamiiForums1460118497.985957.jpg


Safari za nje
ImageUploadedByJamiiForums1460118554.571189.jpg


Tafakari ya kipanya
ImageUploadedByJamiiForums1460118592.743418.jpg
 
Tunataka Rais apate challenge kama hizi alizozionesha Kipanya, hata Rais mwenyewe akiona atakuwa amekumbushwa kitu au amejifunza kitu.Sio kilakitu ni kusifu na watu wakitoa mawazo yao mmawaona ni CDM.
 
Ongeza spidi usikatishwe tamaa.ila angalia watakuja kukwambia wewe ni UKAWA.
 
Kipanya katika ubora wake..... heri yake kwa kumkumbusha JPM aangalie maeneo mengine yenye kero kwa wananchi
 
Back
Top Bottom