Badili uweke mathematical calculation hapo, futa hiyo pichaDuh mkuu au nifute uzi
Hakuna kibonge hapoNI A au B, LEO ni Ijumaa weekend tulivu ishaanza karibuni, mje mpige kura picha iwaongoze 😂binafsi nitakuja kupiga kura
NANI ZAIDI?
Urefu wa wastani upoGoogle tiketi bei gani 😂😂ila uwe na urefu wa wastani shepu ukiwa mfupi Sana duh
NawasubiriKuna watu wanakuja kukukaanga kaa hapohapo
🤣🤣🤣🤣 We mdada wewe🙌Umejazia nyuma tu!☺️
Hebu weka picha tukuone? Sura kama sanamu la Michelin?Mbona hao hawana tofauti! Halafu hapo hamna kibonge wana miili tu
Kibonge ni sisi wenye vitambiii na uzito wa kutoshaa mgongo na kiuno havijulikani
Yaani unakutana na michafu ya Kyagata huko ndiyo unakuja kuponda wote? Ukome aisee!Yananuka papuchi hayo sio poa.