Vibarua maonyesho ya Sabasaba

Vibarua maonyesho ya Sabasaba

madameT

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
46
Reaction score
5
Wakuu mu wazima?

Mimi naulizia kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu nafasi za vibarua katika maonyesho ya wafanyabiashara Sabasaba.

Msaada tafadhali!
 
Nikipata taarifa nitakujuza madameT
 
Last edited by a moderator:
Basi tusubiri kupata taarifa kutoka kwa rubii..hata mtu mwingine pia mwenye taarifa
 
nenda pale ndani ulizia ofice za Tantrade muulizie bro mmoja anaitwa Emma atakusaidia nenda kbla ya tarehe 24
 
Huku kwetu kuna mabango, yameandikwa ajiriwa sabasaba na mshahara ni 240,000
 
kesho mi naenda kuangalia hukohuko tusisubili kutangaziwa humu..ntakuja kuwapa majibu wakuu
 
Deprety utakua umefanya la maana sana hata no za simu chukua uje weka hapa watu wajaribu bahati jamani na Mungu atakubariki maana huo ndio uzalendo mkuu
 
Back
Top Bottom