Vibao vya kubadilishia wachezaji ni aibu kwa TFF na mchezo wa soka kwa ujumla nchini

uzolelanga

Member
Sep 16, 2020
79
162
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa jina LA jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mm ni mdau wa mpira mzr tu pia nilipata kucheza miaka ya nyuma nikiwa mashuleni pia nikishika filimbi (referee) apaharibiki kitu, shida ni hii professional yangu imeua vipaji vyangu vingine.
Naomba kutoa mawazo yangu juu ya aibu hii kubwa inayoikumba mchezo wa mpir nchini wa vibao vya kubadilishia wachezaji( wakati wa kufanya sub) yani ni aibu kuona bado tunatumia vibao vya kupanga wakati ambavyo nchi zingine vilitumika miaka mingi sana iliyopita now wamehamia digital yani vile vipya vya kuwaka, cha kushangaza ni kuona sisi bado tunatumia vile vile mpaka mwaka huu wa 2022 kwamba shida ni nini haswa? Je inauzwa million ngapi kufanya bodi ya ligi na Tff kushindwa kununua, madhara yake ni mengi haswa upotevu wa mda km wachezaji zaid ya mmoja anapotaka kufanyiwa sub kiukweli vinazalilisha Mpira wetu.
Wallace karia na bodi ya ligi ebu liangalieni hili sio mnatangaza tu mabilion ya udhamini mnayoyapata kutoka azam alafu matumizi yake atuyaoni. Acheni wizi tumieni fedha izi kuboresha ligi yetu na hili likiwepo.
Naomba kuwasilisha.
 
Umesema vizr sana mkuu, ni aibu!! Wajitahid waweke vile vya kielectroniki
 
Back
Top Bottom