Vibanda vya "Wahaha" ni halali?

Vibanda vya "Wahaha" ni halali?

Kichapo13

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
75
Reaction score
30
Hivi ni halali kweli tukisema kuwa tunapambana na ukimwi huku tukiachia ujasiriamal wa kuuza miili ushike kasi? Vile vibanda hodi vya akina mama wanaojiuza vinavyoitwa vya Wahaya hatuvioni?
 
wale wamama n muhimu kwa jamii kuliko wewe. Mtu anaenda kujiuguza fasta huku akisevu muda.
We ulitaka waje wajiuguze kwako?
 
Hoja hapa sio umuhimu wa mtu. Maana yake tumekuwa wanafiki tunapotenga bajeti kwa ajili ya elimu na mapambano dhidi ya ukimwi? Hizi fedha zinafanya kazi gani? Kama kuuza miili ni ajira na muhimu basi tuzielekeze pesa hizi katika miradi mingine huku tukikubali kuwa hatuwezi kubadilika!
 
Cha msingi serikali iwatambuwe, iwatengee maofisi maalumu na kisha ikusanye kodi toka kwao, hii ni biashara tu kama zilivyo zingine sema tu huku tz bado washamba washamba
 
Nasikia wanakusanya pesa nyingi sana. Vile vibanda vyao wanalipa kodi ya kibiashara hadi laki moja kwa mwezi.
 
Hivi ni halali kweli tukisema kuwa tunapambana na ukimwi huku tukiachia ujasiriamal wa kuuza miili ushike kasi? Vile vibanda hodi vya akina mama wanaojiuza vinavyoitwa vya Wahaya hatuvioni?

...kama hao wanajulika kuwa si tatizo! "tatizo kama unge kuwa hujui kama wanafanya biashara hiyo...!

"pabaya na pa-hatari zaidi ni; IFM, CBE, UDSM, UDOM... n.k"
'IKIFIKA JIONI WANACHUKULIWA NA WANARUDISHWA ASUBUHI'
 
Kwa taarifa yako maambukizi ya ukimwi kwa wale watu yako chini kuliko unavyofikiri,nataka uanze kuamini hilo ndugu yangu..
 
Hivi ni halali kweli tukisema kuwa tunapambana na ukimwi huku tukiachia ujasiriamal wa kuuza miili ushike kasi? Vile vibanda hodi vya akina mama wanaojiuza vinavyoitwa vya Wahaya hatuvioni?

unataka ukivitoze kodi?
 
huwez kuambukizw ukimwi na hao wamama.ukiingia chumban kitu cha kwanza anaomba hela,anachukua salama,anavua nguo, ,,.,..
 
...kama hao wanajulika kuwa si tatizo! "tatizo kama unge kuwa hujui kama wanafanya biashara hiyo...!

"pabaya na pa-hatari zaidi ni; IFM, CBE, UDSM, UDOM... n.k"
'IKIFIKA JIONI WANACHUKULIWA NA WANARUDISHWA ASUBUHI'

kazi kubwaaa
 
Wateja ni ninyi wanaume,pindi mtakapo acha kwenda biashara hizo zitafungwa,Nyie ndo mmekuwa chachu ya kukua kwa biashara hiyo.
 
kinachotufanya twende huko ni nyie wanawake. unakuta mtu anamke. usiku anaomba uroda anaambiwa nimechoka au tumbo linaniuma. TUMBO LINAUMA AKIWA KITANDANI TU. cku ukipewa uroda unapewa juujuu. inatulazimu tuchelewe mjini. tuchukue pale CBE .tupewe utoda wa hali ya juu na ss turudi tumechoka. WANAWAKE WALIOOLEWA NDIO CHANZO. MA BACHELA HUWA HAWAFUATI MA.LA.YA. ni cc tuliooa
 
sema tu npo mobile ila pokea bonge la LIKE
 
Hivi ni halali kweli tukisema kuwa tunapambana na ukimwi huku tukiachia ujasiriamal Vile vibanda hodi vya akina mama wanaojiuza vinavyoitwa vya Wahaya?

Tatizo ni wewe unayeenda kununua
 
...kama hao wanajulika kuwa si tatizo! "tatizo kama unge kuwa hujui kama wanafanya biashara hiyo...!

"pabaya na pa-hatari zaidi ni; IFM, CBE, UDSM, UDOM... n.k"
'IKIFIKA JIONI WANACHUKULIWA NA WANARUDISHWA ASUBUHI'

Ushawah wachukua au na wewe huwa unasimuliwa tu kisa umeambiwa ni wanachuo
 
kinachotufanya twende huko ni nyie wanawake. unakuta mtu anamke. usiku anaomba uroda anaambiwa nimechoka au tumbo linaniuma. TUMBO LINAUMA AKIWA KITANDANI TU. cku ukipewa uroda unapewa juujuu. inatulazimu tuchelewe mjini. tuchukue pale CBE .tupewe utoda wa hali ya juu na ss turudi tumechoka. WANAWAKE WALIOOLEWA NDIO CHANZO. MA BACHELA HUWA HAWAFUATI MA.LA.YA. ni cc tuliooa

swali la kwanza hao wa cbe ni wahaya? nyambaf nyie mnaofariji umalaya wa makabila yenu kwa kudai hao ni wahaya, mbwa we.

wewe unayenyimwa uroda na mkeo umeoa au umeolewa, mko wachache sana mlo.olewa km wewe
 
Back
Top Bottom