VIBAMIA

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Kuna kisa kimoja hivi...kwa atakayenielewa atakuwa amejifunza kitu...

Siku moja kuna kipofu tangu azaliwe ndivyo alivyo kipofu... Siku moja Allah akambariki kuona kwa muda mfupi sana...alafu akamrudishia upofu wake...

Sasa katika kipindi kile amepata kuona ulimwengu ulivyo mzuri... Kiumbe pekee alichokiona mara moja ni JONGOO... akastaajabu sana... Jinsi jongoo alivyo mkubwa... NDIO KIUMBE PEKEE ALIYEMUONA...

sasa kuanzia siku ile alimhifadhi jongoo kichwani pake jinsi alivyo... Akiamini HAKUNA KIUMBE MKUBWA KATIKA WANYAMA NI MKUBWA KULIKO JONGOO...

katika pita pita zake... Alikuta sehemu watu wanabishana... NANI MKUBWA SANA KATI YA TEMBO NA TWIGA... Yule kipofu akiwa anasikiliza tu ule mjadala... mpaka wakafikia HITIMISHO kuwa TEMBO NI MKUBWA KULIKO TWIGA...

KIPOFU YULE baada ya mjadala kuisha naye akaamua kuchombeza ili kuchokoza mada upya... Akawaambia "NYIE WOTE HAMJUI JINSI JONGOO ALIVYO MKUBWA KULIKO HATA HUYO TEMBO"...
 
Kashindwa tu kumalizia ila kaanza vzr mwisho nadhani maana cna uhakika na alichokuwa anawaza alitaka kusema wanaolalamika vibamia washaona za aina nyingi laiti km mwanamke anaolewa hajawahi ona umbile lolote hpo kabla ndio kwanza anaenda kuona kwa mumewe hata iwe ndogo namna gani hawezi jua km ni kibamia sababu hana cha kufananishia!
 
haswaaa, umetafsiri vyema sana
 
Alijuaje kama yule anaitwa jongoo baada tu ya kufumbuliwa wakati hajawahi kumuona wala kumnusa... Kibamia
 
Hongera kwa kumwelewa vzri nilikuwa nawaza the same ujumbe mzuri sana
 
Kutokuzionaa Mashine zingine hakuwezi Halalisha Kibamia Kuwa Hogooo...Never...! Kitabaki kibamia na huyo bikra atajua hichi ni kibamiaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usijifarijiii...its Nature...
 
Uko vizuri
 
Kutokuzionaa Mashine zingine hakuwezi Halalisha Kibamia Kuwa Hogooo...Never...! Kitabaki kibamia na huyo bikra atajua hichi ni kibamiaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usijifarijiii...its Nature...
Haaaaaahaaaaa rikiboy ss atajuaje na hajawahi ona ya mwanaume mwengine? ooooh labda ataijua kwa kuifananisha size na anazoziona kwa wadogo zake anapowaogesha!
 
Kwa uchambuzi huu una haki ya kuwemo humu jf Hakika wewe sio kilaza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…