Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,103
- 1,441
Wana jamvi serikali ya awamu ya tano imekusudia kuwa makini katika kuchambua vibali vya kusafiri nje ya nchi, hilo sina tatizo maana nadhani ni mojawapo ya job description zao. Ila kinachokera ni mchakato kuchukua zaidi ya miezi miwili hakuna majibu. Nadhani wahusika wafanye/watoe majibu katika muda muafaka, huwezi ukakaa na ombi la kibali kwa muda wa miezi miwili bila majibu. Hii ni usumbufu! Naamini ile sera ya hapa kazi tuu isiwe kwa maneno pekee bali na matendo!