Vibali vya ajira wizara ya Afya lini vitatolewa?

Vibali vya ajira wizara ya Afya lini vitatolewa?

rweihimba

Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
9
Reaction score
2
Serika hutoa vibali vya ajira mwezi October mwanzoni kila mwaka, mbona mwaka huu umepita bila kutoka kulikoni? au pesa hakuna?
 
Kumbuka kuwa vibali sio ajira. Kwani kinachoanza kwanza ni kuonyesha nafasi za wazi zilizopo na kuzitangaza. Suala la fedha linakuja tu pale mtu anapoajiriwa na kupewa check number
 
Back
Top Bottom