she-eagle Member Mar 2, 2016 43 43 May 20, 2016 #1 Wapendwa naomba muongozo. Ninataka kufungua duka la urembo. Nimekwisha pata frame na kila kitu tatizo sijajua kuhusu vibali na usajili ninaanzia wapi? Natanguliza shukrani.
Wapendwa naomba muongozo. Ninataka kufungua duka la urembo. Nimekwisha pata frame na kila kitu tatizo sijajua kuhusu vibali na usajili ninaanzia wapi? Natanguliza shukrani.
Mwanamaji JF-Expert Member Apr 20, 2013 2,905 4,518 May 20, 2016 #2 Mkuu Sijui sana ila nenda ofisi za halmashauri ukaisajili biashara yako, sidhani kama kwa hizi biashara ndogondogo kuna ulazima wa kwenda BRELA.
Mkuu Sijui sana ila nenda ofisi za halmashauri ukaisajili biashara yako, sidhani kama kwa hizi biashara ndogondogo kuna ulazima wa kwenda BRELA.
she-eagle Member Mar 2, 2016 43 43 May 20, 2016 Thread starter #3 asante sana ndio walewale at least nimepata mwanga
Jane Lowassa JF-Expert Member May 10, 2016 4,952 9,035 May 20, 2016 #4 Ha ha ha haaaa. Ama kweli duniani kuna mambo.