zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Wakuu baada ya kazi ngumu za wiki nzima, habu tufurahie weekend kwa hii: Kibaka akieleza mambo yaliyokuwa kwenye pochi ya mwalimu aliyempora: 1. Majina ya wapiga kelele darasani 2. Vipeperushi vya migomo 3. Marking Scheme 4. Jumla ya madeni anayodaiwa 5. Andalio la somo 6. Majina ya watoto waliowahi namba 7. Sh. 500 ya nauli 8. Majina ya waliokopa bagia Kibaka aliapa hatarudia kumpora mwalimu!! Weekend njema wakuu!