richenriques
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 188
- 33
Itakuwa katumiwa na shemeji yake kutoka majuu. Halafu huyu jamaa ni Mwanafunzi.utakuwa hauko serious wewe!!! Pea mbili ndani ya JF? Lipia basi tangazo!!!!
hahahaha umeona deka la chuma pembeni pale mkuu...kweli mashemeji wanakamua dadazetu majuu afu wanatutumia viatu....badala ya kutuma gari ,,unatumiwa TZ 11Itakuwa katumiwa na shemeji yake kutoka majuu. Halafu huyu jamaa ni Mwanafunzi.
Halafu mwishowe hivyo viatu anaishia kuviuza badala ya kuvivaa ili akahonge na kuendea Club.hahahaha umeona deka la chuma pembeni pale mkuu...kweli mashemeji wanakamua dadazetu majuu afu wanatutumia viatu....badala ya kutuma gari ,,unatumiwa TZ 11
Hahahaha walamba nini eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo viatu ni vya walamba ulimi na wavaa vijinzi vya kubana.
umeona kanavyo comment apo juu..kama kinachati na masharo uhoro wenzie wakikutana september kusapuaHalafu mwishowe hivyo viatu anaishia kuviuza badala ya kuvivaa ili akahonge na kuendea Club.
Kwikwikwi mkuu utakuwa umeona deka liko hapo kwa nyuma ya kiatuItakuwa katumiwa na shemeji yake kutoka majuu. Halafu huyu jamaa ni Mwanafunzi.
Hahaaha kapotea njia hapaViatu vya masharobaro hivi.peleka tangaxo instagram au facebook. Huku ni wavaa ngwasuma na kumchoma kumoyo,travolta, vitu kama gucci, claks, da vinci.
Hahuna mbana mapaja na hips au suruali zenye viraku humu. Au subiri juni ifike wakusoma watakuwa jukwaani kipindi cha likizo tyme
Soma wewe acha utoto,au ndio nyie Wazee wa 2.0?Jerks can you please mind your own piece of shits.kma mama zenu ndyo wanavyoish then pole zenu, hamnijui so stop acting like you know me... Nyie ndyo mashoga mnaosumbua watu... Sio sheria kila kinachopostiw a humu ucomment....
Kinatia kichefuchefu sana hicho.umeona kanavyo comment apo juu..kama kinachati na masharo uhoro wenzie wakikutana september kusapua
mkuu hapa hamna cha mambo yetu yale ya site wala nini..wala caterpillar zile genuine..apa ni vya wakina lamba ulimi..lolSasa hizo boots ziko wapi?nikajua nakutana na earth keeper kumbe hayo supra ya mabitozi