View attachment 130117/QUOTE]
Hiki hapa ndio kimenigusa
Habari zenu akina dada,nimewaletea viatu vizuri sana vya kike kutoka UK,kuna aina tofauti kwa ajili ya ofisini,mitoko na mizunguko ya kawaida mjini,bei in tsh 65,000
NB:flat shoes ni tsh 45,000
sizes:35-41 UK
Napatikana Dar tafadhali nitumie PM kama umevutiwa na kiatu chochote naweza kukuletea popote ulipo ndani ya DAR,wale wa nje ya DAR tunaweza kupanga jinsi ya kuwatumia
View attachment 130117View attachment 130115
No 2 na namba 4 vimetulia sana. Unauza shs ngapi mama nije nimchukulie my wife wangu? Mimi nidiyo my husband yake
Flat shoe ni aina hiyo tu na havina uwazi mbele? Manake kucha mwenzangu..! Na vip kama mtu yupo mkoani?