Viatu vya Mtumba
Member
- Aug 14, 2018
- 65
- 18
- Thread starter
- #21
Size no. 43 Bei 25k
Nipo kimara, kuna namba 7 ya UK hapa mkuuAisee viatu vizur. Uko wapi na size no 7 vipo?
Kumbe we mkaka upo Arusha, tatizo una sura mbaya sana... Ningeku pm.Arusha unatuma kwa Tsh ngapi?
Kumbe we mkaka upo Arusha, tatizo una sura mbaya sana... Ningeku pm.
Hahaha hiyo Avatar tu usiogope,mimi ni HENDISAMU kama Mpoki.Kumbe we mkaka upo Arusha, tatizo una sura mbaya sana... Ningeku pm.
Hii nimeielewa ila kwangu itakuwa ndogo,navaa 7½ ukifanikiwa kupata ukali kama huu tustuane nije tugawane ridhiki.All Star Converse original size namba 40 kwa bei poa (20,000)View attachment 1103042View attachment 1103043
Nitafitie Travolta ya mtumba, Kali size 42,ngozi nyeusiVans Original size namba 40/41 kwa bei poa (20,000/=)View attachment 1103044View attachment 1103046View attachment 1103047
unapatikana wapi?
Nitafitie Travolta ya mtumba, Kali size 42,ngozi nyeusi
Kijana naitaka hii ni namba ngapi funguka tumalize biasharaAll Star Converse original size namba 40 kwa bei poa (20,000)View attachment 1103042View attachment 1103043