Viatu vya Mtumba
Member
- Aug 14, 2018
- 65
- 18
Karibuni Wakuu mjipatie viatu vya ngozi vya kiume (size 40/41) kwa Tsh. 25k pamoja na delivery kwa wanaoishi Dsm.
Mawasiliano: 0765 537 224
Mawasiliano: 0765 537 224
Ugonjwa wangu huoMbona umeweka picha moja tu! Una viatu vya kutumbukiza (Visivyokuwa na kamba)
Yah nami napenda sana aina hiyo ya viatu, ila jamaa naona analeta picha za safe boots.Ugonjwa wangu huo
Ahahah halafu picha moja tuYah nami napenda sana aina hiyo ya viatu, ila jamaa naona analeta picha za safe boots.
Hivyo ndo vzur mkuu
Kwaiyo katika picha zote za kupiga promo umeona hio ndo mzur yao daah
Usitutanie mkuu hemu jaribu kua serious
Mbona umeweka picha moja tu! Una viatu vya kutumbukiza (Visivyokuwa na kamba)
duuhKama hivi vipo? vya kazi hii saiz ni kubwa nataka ndogo yake, ila viishie kama kawaida kwenye ankle itapendeza tafadhaliView attachment 888414View attachment 888415View attachment 888419
Kama hivi vipo? vya kazi hii saiz ni kubwa nataka ndogo yake, ila viishie kama kawaida kwenye ankle itapendeza tafadhaliView attachment 888414View attachment 888415View attachment 888419
Three trillion Zimbabwean Dollars COD Bulawayo for these.
Ninavyo vya hivyo, ila nmeviacha site Sudan.Kama hivi vipo? vya kazi hii saiz ni kubwa nataka ndogo yake, ila viishie kama kawaida kwenye ankle itapendeza tafadhaliView attachment 888414View attachment 888415View attachment 888419