Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
-
- #201
Hahaha, buti la jejeNahitaji kiatu cha jeje
Eee mzee ila liwe kama hiliHahaha, buti la jeje
Upo vzrEee mzee ila liwe kama hiliView attachment 1918321
Hilo bwanga si mchezo ki-old skull ile yenyeweEee mzee ila liwe kama hiliView attachment 1918321
Vp lakin kinapatikana?Hilo bwanga si mchezo ki-old skull ile yenyewe
Inakua ngumu kupata kinachofanana na hicho kabisaaaaaa,ila jeje zipo nyingi tu nzurVp lakin kinapatikana?
Hii ni uhakikaMakatambuga
View attachment 1891890
Hapo miba haifui dafuHii ni uhakika