Viatu vyangu pendwa hivi..
Naona jina "Makatambuga" limetoholewa kutokana na kutumika kuvaliwa na wafugaji wanatembelea sana mbugani, porini kwa ajili ya kuchunga. Na mimi nimepitia hii stage.
Pia ni viatu vyangu nilivyovitumia kukanyaga umande wa primary. Hatukuwa na utamaduni wa kuvaa viatu vya kufunika. Wavulana tulivaa makatambuga, wasichana walivaa ndala/katambili.
Daa tumetoka mbali...