Viatu unavyovalishwa na wachawi

[emoji23][emoji23][emoji23]haaa,,,Buji kama Buji.
 
Hizi ndo zile buti unavaaga wakati unakimbizwa usiku na wachawi kwenye ndoto😝

Haya ushapata majibu kwanini miguu inakuaga mizito😃😃
Dah! Kam ndo buti zenyewe izi bas nimevivaa sana hadi nimevizoea Mungu anisaidie tu.
 
Hizi ndo zile buti unavaaga wakati unakimbizwa usiku na wachawi kwenye ndoto😝

Haya ushapata majibu kwanini miguu inakuaga mizito😃😃
Hizi ndo zile buti unavaaga wakati unakimbizwa usiku na wachawi kwenye ndoto😝

Haya ushapata majibu kwanini miguu inakuaga mizito😃😃
Wewe ni mojawapo wa hao wachawi? Si kwa ujuzi yuu
 
Wakolo bojo,leo nalala na viatu tuone kama wataweza kunivalisha hizo ndala zao za mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…