Viatu unavyovalishwa na wachawi

Hizi ndo zile buti unavaaga wakati unakimbizwa usiku na wachawi kwenye ndoto[emoji13]

Haya ushapata majibu kwanini miguu inakuaga mizito[emoji2][emoji2]
Mkuu bila shaka na ww utakua mchawi , umejuaje Kama ndio hivyo
 
Niki miss ndoto za kutisha uwa nalala naangalia juu..
Hata nilale pande gani nikiota ndoto kivyo vyote vile Mimi ndio huwa nakuwa stelingi wa ndoto husika kila atakaekuja napiga!.. Kuna siku nikaota napigwa hapohapo nikahairisha ndoto sitakagi ujinga kabisa..😂

Sasa mkuu unamiss vipi ndoto za vitisho..😅
 
Hizi ndo zile buti unavaaga wakati unakimbizwa usiku na wachawi kwenye ndoto😝

Haya ushapata majibu kwanini miguu inakuaga mizito😃😃
Mkuu mimi nilivaa vya sampuli hiyo wakati nafanya mazoezi ya wu-shu!
 
Hizi ndo zile buti unavaaga wakati unakimbizwa usiku na wachawi kwenye ndoto[emoji13]

Haya ushapata majibu kwanini miguu inakuaga mizito[emoji2][emoji2]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…