Viatu kama si saizi yako lazma vikupwaye au vikubane

xaracter

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,026
606
Hivi viatu vilivyovaliwa Mwaka jana ama ni vikubwa sana kwa mvaaji kiasi kwamba akitembea anadhani kila anayeongea anamsema yeye kwa hiyo anazuia fursa za watu kujieleza au vinambana sana anahangaika anaona kila anayetaka kuongea atamsema yeye alinavyoangaika au labda viatu viliibwa akapewa kwa hiyo anaona swala litabumburuka........embu ongezeeni kuhusu hili swala manake viatu waling'ang'ania wengi kapata yeye anachoogopa ni nini?
 
Aliokota dodo chini ya mwarobaini, hajui aanzie wapi.. Hajui amfurahishe nani na amnunishe nani.. Hajui kuwa ameshaanza kupigwa vita ya chini kwa chini ndani ya chama chake. Hajui kuwa anacheza ngoma na mtu hatari sana mtu ambaye ana mizizi isiyoonekana mtu ambaye alishajipanga ndani ya nyumba ambayo aliihama.. So JPM anamiliki nyumba ambayo imejaa watoto wa EL.. Hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom