Viapo vya Mkuu wa Majeshi, Mnadhimu na Kamishna wa Magereza, je protocal imefuatwa?

Miki

Senior Member
Aug 16, 2007
190
66
Wameanza na Mkuu wa Majeshi, akafuata Mnadhimu kisha Kamishna wa Magereza. Je protocol imefuatwa?

Nauliza tu mi sio mtaalmu wa mambo hayo.
 
Wameanza na Mkuu wa Majeshi, akafuata Mnadhimu kisha Kamishna wa Magereza. Je protocol imefuatwa? Nauliza tu mi sio mtaalmu wa mambo hayo.
Itifaki imezingatiwa ndugu,anaanza kuapa mkubwa zaidi(the most senior)
 
Back
Top Bottom