Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Jamani kuna dada nawasiliana naye tangu october mwaka jana mpaka leo hajawai kuniona wala cjawah kumwona kwa sura. Anaonyesha shauku kubwa ya kmapenzi juu yangu, anapenda tukutane lakn bado spo tayari kukutana naye. Ana saut nzur tena sana, anafanya mawasiliano nami utafikir nimesha ahd kuwa naye. Ameniteka kiana kwa kweli. Naogopa asje kuwa kituko. Akituma msg nispojb anatuma vocha. Jaman huyu dada inakuwaje? Nawakilisha kwenun wana jf.