Veterinarian shift to medical doctor

Dr Kessy

New Member
Nov 8, 2016
4
0
Veterinary doctor to shift and become medical doctor. Is it possible and if yes how long he/she going to spend school again?
 
Hapo ana anza mwanzo kabisa
Yaani mwaka wa kwanza,,, hadi wa tano

U daktati wa binadamu na u daktari wa wanyama haviko sawa kwa masomo,,,,

Anatomy tofauti,
Physiology tofauti
Etc
 
Big No!
Haiwezekan hata kidogo
Kama Unataka kuwa MD anza shule upya

Kozi ni miaka mi 5
 
Hapo ana anza mwanzo kabisa
Yaani mwaka wa kwanza,,, hadi wa tano

U daktati wa binadamu na u daktari wa wanyama haviko sawa kwa masomo,,,,

Anatomy tofauti,
Physiology tofauti
Etc
Kwani binadamu si mnyama?? Shule atarudi ila sizani kama atachukua miaka mitano!
 
Veterinary doctor to shift and become medical doctor. Is it possible and if yes how long he/she going to spend school again?
Nenda muhimbili au kcmc au bugando kaulize ...inawezekana na hata kama ukirudia chuo hutatumia miaka mitano!
 
Kuna daktari pale MUHAS anaitwa Dr Russa , undergraduate alifanya Veterinary medicine ,pg akafanya masters of medicine na sasa ni head of department Anatomy pale pale MUHAS..

Nadhani inawezekana for less than 5 years
 
Kwa system ya Tanzania. To become a practising medical doctor given that you are a vet it will take you 6 full years (5 years going through the MD course and one year internship). Dr Russa is a vet but teaches anatomy but he is not a medical doctor and as such he cannot practice medicine though he can teach anatomy (after learning human anatomy).
 
Kuna daktari pale MUHAS anaitwa Dr Russa , undergraduate alifanya Veterinary medicine ,pg akafanya masters of medicine na sasa ni head of department Anatomy pale pale MUHAS..

Nadhani inawezekana for less than 5 years
Kwa nijuavyo mimi Anatomy sio masters of medicine.. ni masters of science nadhani fatilia vizuri ndugu na mi ntafatilia tena coz kuna Dr naemjua pia undergraduate kasoma BVM postgraduate kasoma microbiology anawafundisha MD micro.
 
Back
Top Bottom