monster killer
Member
- May 21, 2019
- 15
- 6
Nataka kujua kuhusu ghrama na muda wakusomea udereva veta pia ambaye anayo lecense class c kuna kaz katika hotel yang
mm nnayo class C mkuu nahitaji hyo kaz kwnye Hotel yakoNataka kujua kuhusu ghrama na muda wakusomea udereva veta pia ambaye anayo lecense class c kuna kaz katika hotel yang
Ukifika veta reception sjui ndo pale dirishani wanatoa form za kuangalia course na bei yake hizo za udereva zipo juu kabisa au mwanzo wa karatsi fanya uendeNataka kujua kuhusu ghrama na muda wakusomea udereva veta pia ambaye anayo lecense class c kuna kaz katika hotel yang