gibral01 Member Joined Jan 13, 2013 Posts 57 Reaction score 13 Aug 24, 2019 #1 Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaomaliza STD 7 na Form 4 na kushindwa kuendelea na masomo. Veta kwao ni suluhisho, vinginevyo bangi na wizi mtaani vinazidi.
Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaomaliza STD 7 na Form 4 na kushindwa kuendelea na masomo. Veta kwao ni suluhisho, vinginevyo bangi na wizi mtaani vinazidi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,408 Reaction score 185,014 Aug 25, 2019 #3 Ni kweli... Cc: mahondaw