VETA mbona kimya sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VETA mbona kimya sana?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pinochio, Jan 11, 2012.

 1. pinochio

  pinochio Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF , mimi ni kati ya watu waliofanya interview ya VETA na delloite . ila hadi sasa naona kimya.vipi hawa watu washaita?:help:
   
 2. E

  Esther Kimario Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenzio tulishakata tamaa.. maana nasikia serikali haina hela.... ajila zile ni majaliwa; Nafikiri Deloit walipaswa kuwajulisha watu.. otherwise kilichofanyika sio sawa.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​tusubirieni tu wataita wakuu
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukiona manyoya ujue ashaliwa.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu unadhani utapata bila kutoa chochote kitu utapata? Kwa hali ya Tz yetu utaishia kuhesabu ofice za watu kwakufanya Interview, japo sikushauri utoe chochote kitu ili ununue haki yako
   
 6. E

  Esther Kimario Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni hizo jamani! Tujifunze kutembea katika haki! ..... Haki huinua taifa.... ! Tutetende kwa haki na tuamini Mungu atatuinua against wasio haki!
   
 7. Mrbwire

  Mrbwire Senior Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ikawa asubuhi ikawa jioni... siku ya nane! .... I mean ilipaswa kuwa October (Sijui november vile?) Leo ni January... Duh!
   
 8. E

  Esther Kimario Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepata fununu kuwa wataita watu kazini katikati ya mwezi wa pili (kundi la delloitte)
   
 9. m

  msoffejust New Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Ni vyema wakafanya hivyo, kwani wanasubiriwa sana.mungu ni mwema tuendelee kumuomba.
   
Loading...