W Wamalinyi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2016 Posts 237 Reaction score 146 Aug 16, 2016 #1 Habari wanajamvi nilikua nawaza na kuwazua nikajiuliza swali,kwanini Serikali isifanye Utaratibu wa Vyuo vya Veta kutoa elimu walau hadi ngazi ya Diploma? Mwanafunzi akimaliza grade I au level I anaenda diploma.karibu tujadili
Habari wanajamvi nilikua nawaza na kuwazua nikajiuliza swali,kwanini Serikali isifanye Utaratibu wa Vyuo vya Veta kutoa elimu walau hadi ngazi ya Diploma? Mwanafunzi akimaliza grade I au level I anaenda diploma.karibu tujadili
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,441 Aug 16, 2016 #2 Wanatoa diploma ya utalii kule VETA Njiro, Arusha!
W Wamalinyi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2016 Posts 237 Reaction score 146 Aug 16, 2016 Thread starter #3 Slim5 said: Wanatoa diploma ya utalii kule VETA Njiro, Arusha! Click to expand... wangefanya kwa kozi zote
Slim5 said: Wanatoa diploma ya utalii kule VETA Njiro, Arusha! Click to expand... wangefanya kwa kozi zote