Kwa akili yangu ya kunywea bia naona ni bora kwa billions zinazopelekwa kwenye elimu bure zitumike kujenga veta nchi nzima kila kata ili mtoto wa kabwela akimaliza msingi au sekondari akapate ujuzi bure au kwa gharama nafuu kuliko anajifunza bure kuchomekea na kupiga pasi baada ya msingi au secondari then hakuna anachoweza kukifanya mtaani.