Habari Wakuu
Kwanza nikubali mimi ni mgeni katika JF na nimefurahi kwani hii forum ina elimisha kuliko mtandao mwingine wa kijamii na pia kuna Members wapo tayari kuelimisha; huu ndo uTanzania
Nirudi Kwa TOPIC yangu: VETA ni chuo ambacho kuna baadhi ya wananchi wanakidharau, ila mimi binafsi nina ndugu zangu wamejifunza UFUNDI pale na kwa sasa wamejiajiri
Wengi waliojifunza ufundi VETA wana ujuzi(skill) kubwa kuliko 'ordinary degree holder'
Computer Programming inasemekana ndani ya miaka 10 ya mbeleni itaajiri asilimia kubwa ya vijana duniani katika sekta zote
MY THOUGHT
Nime-conmet VETA na Computer Programming nikimaanisha kwamba Serikali inaweza pia kuwaajiri walimu waliobobea katika fani hii ya programming na kuiongeza fani hii VETA.
Wanafunzi(interested in programming) wanaomaliza form 4 na form 6 wanaweze kujifunza PROGRAMMING muda ule wanasubiria matokeo yao.
Baada ya Muda mfupi tutaweza kushuhudia ukuaji wa 'computer proggy' nchini na wakishiriani vizuri wanaweza kuzindua APPS, WEBSITES na GADGETS za kisasa
Ilo ndo wazo langu
'Am Open To Any Corrections and thought additions'
Regards