I'm professional verse ya 3
Neno verse ya kwanza
Ielewe mitaa verse zote.
Ripoti za mtaani verse zote.
Fid q ft Christian bella, nimesahau ngoma, verse zote.
Bongo hip hop verse ya kwanza.
Ni hayo tu, verse ya kwanza
August 13 verse zote.
Mchizi wangu remix verse ya fid, chid na jay mo.
Ninaposimama, verse za langa kali, ila ya chid ile flow ni hatari zaidi.
Hiyo ngoma ya msela, verse ya ngwair sijawahi choka kuisikiliza, ni moto sana.
Kuna ngoma ya mwana fa ft ali kiba, verse ya kwanza ni moto sana.
Ngumu sana kutaja verse zote kali, ila kuna verse ukisikiliza unajiuliza huyu mwamba wakati anaandika alikuwa wapi..