Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,421
Kwenye uandishi 2pac alikua ni jini
Kwenye flow big amemuacha kidogo sana 2pac
Aisee unawafahamu wasanii waliokuwa Death Row..!!?
Tuanze na Snoop wa Long Beach, California.. Mwaka 1993 ameachia Doggystyle.. Wiki ya kwanza kauza 800k kopi.. Wakati album ya Tupac ya mwaka huo mauzo yote ni 1.6M..!
Ulete album ya Tupac yenye mauzo zaidi ya Doggystyle..!
Tusogee kwa Dr Dre wa Compton..1992 ameachia The Chronic..wakati huo album ya Tupac ipo sokoni na haijatoboa 500k sales.. Huku The Chronic anahit 3M..!
Hii kitu mpaka leo.. Mziki unatawaliwa na labels.. Death Row ndio alikuwa giant.. Lazima utoboe..!
Suge Knight alikuwa mtu wa kufanya vitu vitokee.. Kumbuka alienda kumbail out Tupac kwa 1.4M usd..! Yeye ndio alikuwa anacontrol industry..!
Puffy hakuwa kama Suge Knight.. Ila Biggie ukimpa mic kwenye lyrics na flow hakuna mpinzani..!
Hit Em Up ilionyesha kabisa Tupac anahasira na Biggie..
Mhhh hhh mhhh sio kweli.. Doggystyle imeuza kopi nyingi zaidi..Plus album ya All Eyez On Me alikuwa yupo chini ya Death Row..!Tupac ana diamond certified album (10M+, All Eyez On Me) Ila Snoop Dogg hana.
Mhhh hhh mhhh sio kweli.. Doggystyle imeuza kopi nyingi zaidi..Plus album ya All Eyez On Me alikuwa yupo chini ya Death Row..!
Death Row was bigger than Tupac..!
Death Row was selling records n making millions hata kabla ya Tupac..!
Tupac was broke kabla hajajoin Death Row..!
Hizo certifications sio lazima sales za albums iwe zaidi..
Yale matusi ndio unasema kaliHit em up ni kali kwa kila idara.
Beat ya aint mad aliifanyia sampling sioAmini man!
Ule wimbo ukiwa na familia hausikilizikiNdo maana ya 'Diss Track' Fam... 😅
sikiliza Teardrops and closed casketThis is hot niga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi kwanin sikuifaham kitambo!!!
Okey nipe play list at least ngoma 10 hiv ambazo sio common sana kwa watu ila ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe jamaa umeamua kujiandikia unachopenda kuskiaMhhh hhh mhhh sio kweli.. Doggystyle imeuza kopi nyingi zaidi..Plus album ya All Eyez On Me alikuwa yupo chini ya Death Row..!
Death Row was bigger than Tupac..!
Death Row was selling records n making millions hata kabla ya Tupac..!
Tupac was broke kabla hajajoin Death Row..!
Kwanza ulipaswa ujue kwanini nimesema hit em up,Yale matusi ndio unasema kali