Sie wengine bhana tupo very positive!
Binafsi kushindwa kwangu kuelewa wala sikudhani kumetokana na jinsi hiyo lugha ilivyocharangwa, nikaamini tu nimeshindwa kuelewa labda kwavile hayo mambo yenyewe ya mining sijui lolote, na kwahiyo labda jamaa katumia Kidhungu cha ki-mining mining; kilichojaa jargons za ki-mining mining, na ndo maana nimetoka kapa!!