Mkuu shule ipo masaki jirani na international school. siifahamu jina lake ila ukifika pale interntational school of Tanganyika waulize wale madereva taxi unaulizia French school watakuelekeza.
unaweza ku copy na ku paste hii link kwenye web browser yako itakupeleka kunakohusika.