We pia si umeajiriwa na waarabu kulinda geti pale Mikocheni?
Sasa unamcheka mwenzako?
Ukiwa Maskini wa pesa na busara ni balaa sana.
UYO LEMUTUZ nae jipu,......alikua nakampuni ya kutoa mizigo bandarini,..........yan mwananchi blog ndo impe pesa hivyoo..,,jipu ilo
Teh teh teh.Hahaha tatizo lake moja tu kwa nini aingize dini katika mambo hayo au ndo hasira kua ukweli unauma kijana tulia tu usipanik ulatupa kirungu bure maana mikocheni wengi wanalinda na virungu tu
bro,...you make laugh hahaApo yupo kama nyoka anaweza akatumwa sigara akafata fasta na ubonge wake
from left
Anwar (the Owner of Azania Ngano _), Ahmed (the Owner of Asas Dairies ), Davis Mosha (the Owner of Delina Inc.),
Ali (the Owner of Lake Oil Groups) and super billionea Lemutuz (the owner of blog ya wananchi) kwani kuna mwenye swali huko?
UYO LEMUTUZ nae jipu,......alikua nakampuni ya kutoa mizigo bandarini,..........yan mwananchi blog ndo impe pesa hivyoo..,,jipu ilo
Wenye hela wembambaaaaa,ona huyo wa kushoto ,kama puto
Wenye hela wembambaaaaa,ona huyo wa kushoto ,kama puto
ahhhahhasiwezi kujibizana na akili ndogo meen, i have 3 degree#ndege wafananao huruka pamoja#im humbled#lemutuz.
Hahaaa! Wa mwisho ni libilionea!![]()