Huyo mama amekwidwa mkono kama mbuzi inayopelekwa kuchinjwa....halafu huyo dem kakamatwa kimtego na anachekewa...!!!
Kudadeki.....jasiri haachi asili
Pamoja na yote anabaki kuwa demu, hawezi kuwa mselaAisee huyo sio dem...Mpe heshima yake ni Senior Lecture Muhas......Ila ni mtata balaa..
President Jakaya Mrisho Kikwete with Reasearch fellow and Senior Lecturer at the Muhimbili University of Health
Pamoja na yote anabaki kuwa demu, hawezi kuwa msela
Hivi neno demu linatumika wakati gani...??
Mama yako ni demu..?