Hizo zote ni gari moja tu hayo ni majina tu ya ubatizo na muundo wa bodi tu hakuna jipya.
Mimi nasubidili mwaka 2030 Toyota watatoa gari ambazo kwenye foleni zitakuwa zinapaa kama ndege. Hili ndio jipya.
Hhhhaaaaa hiyo kalii,mi nashangaa watu hushoboka na majina ya magari mi gari lenye sura nzuri ndio napenda kama Harrier,BMW sijui, zile vX maana kila siku magari yanatoka majina mapyaa tu kama simu
A photo can speak thousands language.
Original ni original mkuu, mi wa hapa hapa bwana
Gari zurii halaf la police duuuu kuna nchi zinajali wafanyakazi wakee aisee
Kwahiyo zinazouzwa madukani ni fake? Kwa nini wapenda makele wanafunga na booster wanaongeza na speaker?
Nyingi sio original mkuu, ukisikia mziki wa Brevis utakubaliana na mm
Unaweza kupiga hata disco billicanas?
Wataalam wa magari,naomba kujua kati ya gari hizo ipi nzuri kwenye utumiaji wa mafuta,comfortability barabarani nk. Nazipenda zote ila nafikiria kununua moja wapo. Ushauri wenu utasababisha nifanye uamuzi mzuri.
Aisee! Gari za kiume ni zipi?
Mkuu ukisikiliza ya walimwengu huwezi kwenda mbele....tena unakuta anayeponda yeye hata spare tyre hana...Gari ya kike inavaa sidiria? Inanyonyesha?
Madereva wa Verossa huwa nawaona kama 'kimawazo' wanahisi wanaendesha V8...manake huko barabarani...mmh..
We pimbi vipi??? Kweli mjini msingi kiuno yaani lazma ukate mauno kila thread
Kuna kaukweli hapa.