Wataalam wa magari,naomba kujua kati ya gari hizo ipi nzuri kwenye utumiaji wa mafuta,comfortability barabarani nk. Nazipenda zote ila nafikiria kununua moja wapo. Ushauri wenu utasababisha nifanye uamuzi mzuri.

Mleta uzi linganisha cc ya verossa na brevis? Maana ndizo zitakazokuwezesha kuhimili mafuta kutokana na unapoishi hadi unapotafuta riziki na misele mingine....
Hhhhaaaaa hiyo kalii,mi nashangaa watu hushoboka na majina ya magari mi gari lenye sura nzuri ndio napenda kama Harrier,BMW sijui, zile vX maana kila siku magari yanatoka majina mapyaa tu kama simu