Unaamka au unarara!Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Na watoto sijui walimuita uncle au babaPole dingi wa kambo.....
Hivi kumbe uko serious 😀 Mi najuaga mikasa ya JF ni chai.Mkuu nimejiajili kwenye kilimo Cha mpunga kwahiyo Hela ya kuendeshea maisha hainipigi chenga. Kwahiyo Kama unahisi chai njoo dm nikupe namba ya mwanamke mwenzio umuulize alichokifanya.
Mshua wako ndio aliejengewa Lile Sanamu la Askari pale Posta?mshua wangu alinambia kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kukaa na mke wa mtu😂😂
Kama hujaelewa uliza, alikaa miezi mitatu yaani toka may mpaka agost mwaka Jana, amejifungua mwezi wa tatu mwaka huu. Kumanisha miezi tisa ya ujauzito imetimia mwezi wa tatuKatafute jukwaa la wehu wenzio, amekaa miezi 3 amepatia mimba huko amrudi kujifungua, mimba miezi 3? Huyo ni binadamu?
Nisamehewe tu kwasasa maisha yamenifunza jambo kubwa Sana.Kwenye kikao cha wanaume tulishakubaliana kuwa single mother anayestahili kupewa hifadhi ni yule Mjane (aliyefiwa na mumewe) na hadi ujiridhishe kwa uhalisia uone ndugu zake wa huyo marehemu na kaburi ndyo uanze mahusiano naye.
Je ulikuwepo au ulikwenda kuchimba dawa?
Umeyataka mwenyewe, kila siku tunaimba humu habari za Singo mamazi wewe unaenda kujiingiza kwa mwenye watoto wawili kabisa??Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Hili suala ni serious na limeniathili Sana. Kwasasa Binti ana mtoto ambae ana wiki mbili.Huu Uzi ni kama hadithi haujabeba uhalisia mtoa mada huna ushirikiano na reply zako
Ahsante kwa kushiriki. 👐
Kwasasa nimejifunza Bora nitafute wasio na wato hata Kama ni wasumbufu nitavumilia.😂😂😂yaan namba D zipo kibao huku kitaa unaenda kuangaika na demu ashazaa watoto wawili wewe unafikiri angekupenda kweli...
hapo kaenda kwa jamaa yake katiwa mimba nyingine anakuletea wewe baba huruma ulee.....😂😂hii dunia usipokuwa katili hufanikiwi..ww jitie una huruma utalee watoto wa mwanaume mwenzio tu.
Mapenzi upofu. Lakini kwasasa nitakua mwalimu mzuriUmeyataka mwenyewe, kila siku tunaimba humu habari za Singo mamazi wewe unaenda kujiingiza kwa mwenye watoto wawili kabisa??
Uliwezaje kumtimizia mahitaji yote hayo ya kiuchumi na ww ni senior jobless au mwizi?Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Huyo jamaa hakuelewa. Miezi mitatu aliyokaa ni Ile ambayo alipata ujauzito na amejifungua mwezi uliopita baada ya miezi tisa. Ina maana ujauzito alipata mwezi June wakati Mimi nimelala nae April na august. Kwahiyo kama mtoto ni wangu alitakiwa ajifungue January au mayMaybe alikuwa mjamzito
AhsantePole
NimejifunzaUlitumwa au ukilazimishwa kulea mabao ya wanaume wenzio?.
Si ukajioendekeza mwenyewe nyau wewe! Toka hapa usitupigie kelele huna akil wewe
Naomba nipumzike kwasasa maana nitakufa kabla ya umriNjoo kwangu nikuliwaze
Mkuu usiwe serious sana na hizi ID kwasasa ni miaka mitano Sasa nimejikita kwenye kilimo na kinalipa kwakweliUliwezaje kumtimizia mahitaji yote hayo ya kiuchumi na ww ni senior jobless au mwizi?
meondoka nipo mbalia kidogo kwasasa napumzisha fuvu.Unaamka au unarara!
Sio rahisi kabisa sisi kuelewa unacgopitia ila tu usiue