Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 381
- 866
Ikawaje bado unamlea auHuyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
🤣🤣🤣🤣🤣Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Wewe ulimpendea Mbunye na Mbunye ulikula kwani mlikubalina umeinunua yote?Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
na bado umeng'ang'ana nae tu, na huna maamuzi 🐒Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.
Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.
Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Na wanawake wanajua Mwanaume asiye na akili huwa hawakai nao.KUTAKA KULEA WATOTO WA MWANAUME MWENZIO NI UNDEZI. TAYARI UMEONESHA HUNA AKILI.
Kwani kasema hana ajira?Sasa Mtu jobless Hela za kufanya yote hayo ulitoa wapi? sikukuu yote hii unataka kutupa chai badala ya bia!
Nimekosa Mimi, nimekosa Mimi, nimekosa sana ndiomaana nawaomba mniwie radhi lakini kwasasa nitakua mwalimu mzuri.KUTAKA KULEA WATOTO WA MWANAUME MWENZIO NI UNDEZI. TAYARI UMEONESHA HUNA AKILI.
Kwa hesabu nilijua mimba ni yangu nimelea na mimba lakini kujifungua mwezi huu hesabu zinagoma kuwa ni wangu.Na karudi kajifungulia ulipompangia. Ni sawa.
Kwani kasema hana ajira
Zinagoma kwa mwezi au wiki ngap?Kwa hesabu nilijua mimba ni yangu nimelea na mimba lakini kujifungua mwezi huu hesabu zinagoma kuwa ni wangu.