Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Hawa Ndio wasomi watu, kazi kupamba mabepari.mufuruki mwenye mwizi na tapeli mkubwa kapata fedha za dili dili tu
Foremost, Correct those parts which are underlined in red fonts. They are unusual collocations.
What a shame! What language did you use to appreciate the hopeless performance of the past? You know what, FaizaFoxy, as I was trying to emulate your good kiswahili, I ran short of differentiating words. by kulawiti, I meant to defile not to sodomize. Can you now see your misconception? The country was defiled by your darling.
Be calm, read carefully and try to think. This will help you avoiding misquotation of simple names like Mfuruki. I advise you not to despise Kiswahili for english language. Are you that much good at this language? I can try and whenever I fail, le français est l'option.
Note, we are not answering the thread, we are discussing.
Funny.
How can you discuss without answering the first topic?
Above sentences are grammatically correct to the dot.
Collocation is simply a sub type of phraseme which is lacking in my post. How can it be a subject for correction?
Think before you bark.
Achana na kiingereza kibovu! Andika kiswahili siyo kosa na kiingereza siyo ufahamu. Angalia ulichoandika tena. You are still very wrong!
You wrote;
Above sentences are grammatically correct to the dot
write;
The above sentences are grammatically correct to the dot
Ningeshangaa kama bepari na nabii wa utajiri angeandika tofauti na haya. Hizi ndizo gharama za kuwanyenyekea wazungu kana kwamba Mungu wao ni mwingine.
I dream in English = Naota kwa kiingerezaPoor you, my sentences were neither majestic nor singular or rather adjectives to qualify the the to be used.
I dream in English, do you?
wewe unaona upungufu wa Mahiga unashindwa kuona huo ujinga uliosababisha haya yote..una maana gani, wala Mahiga hana tatizo, walaumu walioleta upuuzi huu! wewe unataka wakosee wengine halafu wabebe mzigo wa kujisafisha wengine..yaani unajali saaaana kuzurura kujisafisha badala ya kuzuia huo upuuzi ili huo muda wa kuzurura Mahiga afanye mambo mengine ya maana, taifa la miaka zaidi ya 50 lkn tunafanya mambo kama tumepata uhuru juzi, miaka 50 ni ya mtu mzima huwezi kufanya ujinga kama huu wa kuharibu matokeo ya uchaguzi halafu unalazimisha uchaguzi urudiwe..! tha's childish and stupidity!!!hakuna cha jecha wala nini,diplomatically mahiga anapwaya,actually hakujishughulisha hata kuzunguka kujaribu kuweka mambo sawa kama mwenzake membe alivyokuwa anafanya.
Nakumbuka tangu awe waziri mahiga amekwenda rwanda kumuomba kagame eti asahau yaliyopita,ha ha ha ha
Mangapi hayapo kwenye katiba lakini yanafanyika? Unaishi Serengeti National Park umeambukizwa akili za nyumbu?Swala la mambo ya uchaguzi wa Zanzibar si maswala yanayomhusu magufuli wala kikwete yanawahusu wanzanzibari wenyewe acheni kuchomekea watu wasio husika.
kabla ya kuchomekea mngesoma kwanza katiba ya muungano,katiba ya zanzibar na sheria ya uchaguzi ya zanzibar.Msije kilevi levi kama wale wa MCC HAWAJALI KATIBA WALA SHERIA WANALAZIMISHA TU MAMBO!!!
Maelezo ya mzee Mufuruki yamekaa vizuri na hata wewe mwenyewe nimekupata vizuri sina hakika na wale poyoyo wa buku saba maana wao huwa hawashirikishi ubongo kwenye hoja kama hizi.Nilimsikiliza Magu akisema ''misaada ina masharti mtu anakupa msaada halafu anakwambia usikohoe,ifike mahali tujitegee Mungu katupa kila kitu''Mugabe ndio mfano wetu mzuri kabisa ni kweli wachina wao kama walivyofanya kwake watafanya hata kwetu walimbeba sana Mugabe lakini wapi Mzungu Mzungu tu,amechemka Zimbambwe haina hata pesa yake thamani yake kwishnei na maisha yamekuwa magumu kupindukia.Kitu gani kinaanza ndio ufikie lengo la kujitegemea??Viongozi wetu wanasema tulijua watatunyima hivyo zile fedha hatukuziweka kwenye mipango ya maendeleo wananchi msiwe na wasiwasi hali itakaa sawa tutatafuta namna ya kujazia hilo pengo Japani na Wachina wapo wamekubali kutusaidia.A complex world Nyerere na mkonge wake aliwaletea jeuri wakaua zao hilo akaishia kusoma namba.KUKURUPUKA KUNA ATHARI KUBWA SANA SI KWA TAIFA TU HATA KUANZIA NGAZI YA FAMILIA.Well said Mr Mufuruki. Isomeni vizuri hii article na muielewe...anaemuita Mufuruki kibaraka namshangaa labda kusoma hawezi...kasema hapo karibu na ukingoni marekani ina agenda zake....lakini haiizuii Tanzania kutokuwa na zake....
Nimekumbuka scenario ya Zimbabwe...walidhani wakipora mashamba ya wazungu watafankkiwa kiendelea kuuza maua uholanzi...wakakuta maua yanakataliwa sokoni....sembe zinakataliwa...unaposema nitaongeza kuchimba dhahabu ujue pia ni nani atanunua..nina uranium...bwana baradei wa shirika la nguvu za atomiki atakuja kuban ufukuaji huo....waulizeni iran wenyewe wamenyoosha maelezo sembuse tanzania....tutakuza utalii...watazuia raia zao wasije kutalii kwa kampeni tofauti........ its a complex world...the world is also competing for opportunities....ukisusa wenzio wala...jamani wazimbabwe wanateseka jamani sijui kama mnajua hilo..
Namshukuru raisi wangu tumeona anacontrol vema.bei za mafuta na hata leo wameshusha umeme...lakini naomba pia amsikilize Mzee Mufuruki..Mzee Mufuruki ana akili sana...personally huwa namkubali...huyu pia aliongelea changamoto.za.ma CEO wenye mishahara mikubwa...aliongelea.vitu vizito sana...
Tutabadilisha sera zetu za masuala ya Uchumi na Maendeleo na zile za mahusiano na matifa, ama jumuhiya za Kimataifa...
My take:
serikali kuwakorofisha international partners, na sasa kui-disappoint hata business community (a key source of tax revenue) ndiyo mwanzo wa kutengeneza lile anguko kuu.
i only pray kuwa hatuta-end up kuwa DRC nyingine!
Vipi wewe suala ni kuwapa CUF ushindi wao. Na CCM ndio wawe washiriki hapo!Sawa wengine tunamuunga mkono JPM lakini suala la Zanzibar ni mwiba. Lazima itafutwe namna ya kuwashirikisha CUF kwenye serikali ya umoja.
Ni mtihani mzito kwa Magufuli. Kikwete hakufanya vyema kwenye hilo.
Mkuu dunia nzima iliishabow kwa western rythm....gorbachov alimalizia kule russiaAli Mufuruki, ndiyo jina lake...ameandika vizuri na points zake ni appealing, lakini this man is a capitalist and pro western countries. Asingeweza kuandika otherwise. The Americans will be enjoying...reading this article, which to them is a master piece, and it is, anyway in the eyes of supporters. That is, we have to engage the Americans and kneel to them to "to push for the restoration of relations as soon as possible". Mufuruki ni mnufaika wa mfumo uliokuwepo kabla ya Utawala huu. JPM, my President, ana kazi kubwa mno. We have to continue praying for him.
Lakini mbona uchaguzi wa zanzibar unamhusu January Makamba? Akiwa kama waziri wa JMT ,kumbuka yeye sio mzanzibari, alikwenda kusimamia uchaguzi wa marudio. Wacha unafiki wako wa kijinga jinga.Swala la mambo ya uchaguzi wa Zanzibar si maswala yanayomhusu magufuli wala kikwete yanawahusu wanzanzibari wenyewe acheni kuchomekea watu wasio husika.
kabla ya kuchomekea mngesoma kwanza katiba ya muungano,katiba ya zanzibar na sheria ya uchaguzi ya zanzibar.Msije kilevi levi kama wale wa MCC HAWAJALI KATIBA WALA SHERIA WANALAZIMISHA TU MAMBO!!!
Hata Roman empire ilikuwa hivyo, but the end is near. It may take ten or more years, but for sure The USA hegemenony will come to an end.Mkuu dunia nzima iliishabow kwa western rythm....gorbachov alimalizia kule russia