Vent za laptop kua chini

Vent za laptop kua chini

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Habar wana jf pc yangu vent zake za kupumulia ziko kwa chin kidgo kias kwamba inapelekea sometime ina over heat then inazima ukiwasha inaandika kua ilizima ku-avoid over heat nilikua nauliza nifanyaje kuzui tatizo hili? Na pia stand za pc hua wanauzaje? Msaada please
 
Pc yako unaiweka mahala gani?
 
Huo muundo kweli ni mbaya,sababu pua zinafunikwa ukiitenga chini.
 
Naeka sehem kama juu ya meza kiti n.k
Kawaida laptop ina visimamio kwenye kila pembe yake ambavyo vinasaidia ukiiweka sehemu yenye utambarare, sehemu za kuingiza hewa zibaki juu. Epuka kuiweka kwenye godoro au mahali popote ambapo sehemu za kupitisha hewa zinabanwa.

Pia hakikisha feni hiyo inafanya kazi sawasawa kabla ya kuja kulaumu hizo vent, feni ikiwa haifanyi kazi sawasawa au imesimama kufanya kazi. Lazima ijizime yenyewe joto likizidi au itajipiga reboot ikistart window
 
Habar wana jf pc yangu vent zake za kupumulia ziko kwa chin kidgo kias kwamba inapelekea sometime ina over heat then inazima ukiwasha inaandika kua ilizima ku-avoid over heat nilikua nauliza nifanyaje kuzui tatizo hili? Na pia stand za pc hua wanauzaje? Msaada please
manufacture wenyewe wametengeneza isiwekwe kwenye stand ndo maana wameweka hizo vent kwa chini hapo jaribubu kuangalia heatsink compound kama haijakauka vile vile angalia coolin system kama ipo fresh
 
Back
Top Bottom