Vengu komaa hivyo hivyo

JF ya zamani watu walikuwa wanaweka habari na ushahidi...

JF ya sasa watu wanaweka taarabu tu
 
WATU WANAOJADILI MAISHA YA WANAUME WENZAO KAMA WANAWAJUA VEMA, WAMECHOKA HAOOOO

Tuhuma zisizo na mbele wala nyuma, afu wasiojielewa nao wanashadadia bila kuomba ushahidi.
 
Endelea kuwa mbishi, komaa hivyo hivyo. Walidhania wangefanikiwa kukutoa qafra matokeo yake unakomaa na unazidi kuwa mbishi nakukataa kuondoka kizembe.

Yamechuja yamebaki kuwa kero kwenye jamii badala ya kuchekesha yanatukera.

Hafii mtu hapa!
Mkuu vengu kumbe bado upo hai? Ila wewe hukuwa unachekesha kabisa sema ulipata bahati ya kuwa kwenye lile kundi. Sikuwa nakuelewa kabisa, ila shukuru Mungu bado upo hai mana umeumwa sn.
 
Kama ni kweli hawakumfanyia poa kabisa
 
Ze Comedy waache kutumia nguvu kubwa kushindana na muda.

Wakubali kuwa zama zao kushine kama kundi zimeshapitwa na wakati!!

Wajikite kufanya solo projects.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Hapo mtoe huyo ngoma nagwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…