Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 431
Mkuu hii kitu italeta shida kunako mahusianoni si unajua mwanamke akiwezeshwa anaweza.......sasa wewe ushawawezesha hapa tusubiri mapichapicha tu.....
Mkuu hii kitu italeta shida kunako mahusianoni si unajua mwanamke akiwezeshwa anaweza.......sasa wewe ushawawezesha hapa tusubiri mapichapicha tu.....
Wanawake ukitaka kujua wanapenda affairs
basi wewe ponda sana kuchepuka mbele yao
jifanye wewe ni mwanaume muaminifu asilimia 100
utaona sura zao zinavyokutazama...kama unawatia kichefuchefu
Hahahh [emoji631] [emoji631] [emoji631] u.s.a babyHii ya wazungu...[emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mida kama hii ndo unapotamani kuchepuka na ras simba
Kwa hiyo mahusiano juu ya mahusiano ni understandable....ni asili. Interesting.