VB programming

VB programming

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Hallo naomba mtu anisaidie hivi vitu
1.Object
2.Method
3.Events
4.properties
5.class
Vinatumika vipi kwenye VB maana najifunza mwenyewe bado sijaelewa kabisa
Mfano unakuta
Form1.Inverted = True
warningLabel.Text = "Data not saved"
Form.label="next"
 
Mkuu ingia Google utapata madini yote. Google, stackoverflow na internet kwa ujumla should be your best friend ukitaka kuwa mtabe wa programming
 
Unajifunza VB ipi na unatumia IDE gani?

VB ndio language nyepesi kuliko programming language zote. Ukitumia online tutorials unaweza kujifunza kila kitu. Ila ningependa kujua hayo maswali hapo juu ili nikushauri kwa sababu VB sio language ya maana sana.
 
VB6 na IDE ya visual studio mkuu
 
Kwa miaka 2013 hii kitu ilikua poa sana//ila kwa yq kawaida sana
 
VB6 na IDE ya visual studio mkuu
VB6 ni language ambayo haina maisha marefu kwasababu microsoft ameshamaliza muda wake wa support VB6 ni language tofauti na VB zilitotoka baada yake. Kwasasa wanatoa runtime support tu. Inamaana kama ulikuwa na program ilitotengenezwa kwa vb6 basi itaendelea kufanya kazi hadi angalau mwaka 2025. Lakini IDE yenyewe na Language pamoja na Tools zake hazina support kwa hiyo kama unataka kufanya development ya language hii itabidi ufanye ujanja ujanja ili kufanikisha. Ukienda kwenye forums za VB6 utakuta topic za mwisho takribani miaka ya 2008 ....2012 hivi.

Pamoja na hayo.
VB6 ni rahisi na unaweza kuisoma kwa kupitia youtube tutorials, pia kwenye website kadhaa utapata sample projects kulingana na mada husika.

Baadhi ya site hizi hapa
Visual Basic Source Code | Free Source Code & Tutorials
VBForums - Visual Basic and VB .NET Discussions and More!
Www.sourceforge.net
 
Nimekuelewa mkuu but mm nataka kutumia zaidi vba kwenye Microsoft products so nimeanza tu na VB niijue ndio niende ninapopataka kwenye VBA!!
 
Upo sawa kabisa. Ukianzia kwenye vb6 itakurahisishia kuielewa vba. Sasa cha kufanya hebu jaribu kufikiria project fulani ambayo itabidi kuikamilisha kwa VB6 ili iwe changamoto ya kuielewa. Na uhakikishe hiyo project unaimaliza.
 
Ok! Licha ya kujifunza mwenyewe tu, inabidi nimpate mtu hata anipe support kidogo
 
Upo sawa kabisa. Ukianzia kwenye vb6 itakurahisishia kuielewa vba. Sasa cha kufanya hebu jaribu kufikiria project fulani ambayo itabidi kuikamilisha kwa VB6 ili iwe changamoto ya kuielewa. Na uhakikishe hiyo project unaimaliza.
Au mkuu na VBA nayo haina maana? Kwa sasa na siku za usoni
 
VBA bado inatumika na ina maana sana. Na ukiielewa VB6 basi utaiweza VBA na pia utaiweza VB (ile ambayo ilitoka baada ya VB6)
 
Hallo naomba mtu anisaidie hivi vitu
1.Object
2.Method
3.Events
4.properties
5.class
Vinatumika vipi kwenye VB maana najifunza mwenyewe bado sijaelewa kabisa
Mfano unakuta
Form1.Inverted = True
warningLabel.Text = "Data not saved"
Form.label="next"
VB au VBA
Maana ni vitu vinafanana but kuna tofaut kidogo
VBA ni microsoft program
 
VB6 ni language ambayo haina maisha marefu kwasababu microsoft ameshamaliza muda wake wa support VB6 ni language tofauti na VB zilitotoka baada yake. Kwasasa wanatoa runtime support tu. Inamaana kama ulikuwa na program ilitotengenezwa kwa vb6 basi itaendelea kufanya kazi hadi angalau mwaka 2025. Lakini IDE yenyewe na Language pamoja na Tools zake hazina support kwa hiyo kama unataka kufanya development ya language hii itabidi ufanye ujanja ujanja ili kufanikisha. Ukienda kwenye forums za VB6 utakuta topic za mwisho takribani miaka ya 2008 ....2012 hivi.

Pamoja na hayo.
VB6 ni rahisi na unaweza kuisoma kwa kupitia youtube tutorials, pia kwenye website kadhaa utapata sample projects kulingana na mada husika.

Baadhi ya site hizi hapa
Visual Basic Source Code | Free Source Code & Tutorials
VBForums - Visual Basic and VB .NET Discussions and More!
Www.sourceforge.net
Vipi kuhusu VB ya kuanzia miaka ya 2012 na kuendelea (2012, 2013, 2015, 2019), nazo siyo nzuri kwa coding?
 
What are you learning this in 2020 and where are you going to use it?

Kama ni microsoft lover why not moving to C#
 
Shida ni ofisi nyingi za serikali bado zinatumia excel kama database yake ! Hivyo inakulazimu kujifunza VBA kwa ajili ya kumanipulate excel !! Kutokana na watumiaji wake wengi wanajua excel na ni rahisi kutumia tofauti na Mysqli ambayo itahitaji software nyingine
 
How many
 
Python hujaifikiria?
 
VB6 ni language ambayo haina maisha marefu kwasababu microsoft ameshamaliza muda wake wa support VB6 ni language tofauti na VB zilitotoka baada yake. Kwasasa wanatoa runtime support tu. Inamaana kama ulikuwa na program ilitotengenezwa kwa vb6 basi itaendelea kufanya kazi hadi angalau mwaka 2025. Lakini IDE yenyewe na Language pamoja na Tools zake hazina support kwa hiyo kama unataka kufanya development ya language hii itabidi ufanye ujanja ujanja ili kufanikisha. Ukienda kwenye forums za VB6 utakuta topic za mwisho takribani miaka ya 2008 ....2012 hivi.

Pamoja na hayo.
VB6 ni rahisi na unaweza kuisoma kwa kupitia youtube tutorials, pia kwenye website kadhaa utapata sample projects kulingana na mada husika.

Baadhi ya site hizi hapa
Visual Basic Source Code | Free Source Code & Tutorials
VBForums - Visual Basic and VB .NET Discussions and More!
Www.sourceforge.net
Yeap exactly vb haina maisha maref tumehamia kwenye C sharp
 
Back
Top Bottom