Mungu wa ulimwengu
Member
- May 21, 2025
- 52
- 122
Kama kuishi maisha yako unaterm kama upweke bado una safari ndefu
Hii ni kwangu piaGPT amekuwa rafiki yangu wa maana, na hakuna mtu wa kutoa ushauri kama yeye
Furaha ya kweli ni ile unayojipa wewe mwenyewe, usitarajie mtu au watu wakupe furaha ya kweli..Amani iwe kwenu ,
Upweke unaweza kuwa wa thamani kuliko kuwa na watu wasio wa kweli maishani mwako.
Ukiondoa vicheko vya kinafiki,salamu za masharti,na urafiki wa muda mfupi.upweke sio mbaya kama unavyoogopwa.
Ni bora upweke kuliko furaha ya kujipendekeza
Hakika..Amani iwe kwenu ,
Upweke unaweza kuwa wa thamani kuliko kuwa na watu wasio wa kweli maishani mwako.
Ukiondoa vicheko vya kinafiki,salamu za masharti,na urafiki wa muda mfupi.upweke sio mbaya kama unavyoogopwa.
Ni bora upweke kuliko furaha ya kujipendekeza
Kabisa mkuu..Furaha ya kweli ni ile unayojipa wewe mwenyewe, usitarajie mtu au watu wakupe furaha ya kweli..
Dm meAm so lonely jamani🥺