vazi la taifa Tanzania ni lipi haswa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vazi la taifa Tanzania ni lipi haswa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Mar 12, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana jf
  ningependa kujuwa hivi vazi la Taifa letu Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni lipi haswa? kwani ktk ile siku ya waafrika huwa naona watu wengi kutoka afika kila mtu kavaa vazi lasmi la nchi atokayo ila kwa Tz utamwona jamaa katika suti na tai,sasa vazi letu sisi wabongo wazee wa porojo ni lipi?
   
Loading...