Ziki ndio vazi la taifa,hvyo kukimbilia kutafuta nguo ya taifa wakat maisha yamekua ukeketaj n ujnga,kwan viongoz ndio mangaliba.Umaskin ndio vers na mapenz n corus,mwimbaj mtanzania(Mwafrika).Sio siasa,ila uchumi ndio utawaokoa watz,na sio wa nchi bal wa mwananchi.Co machoz yote n ya huzun,yapo ya furaha,lakn haypatkan msiban kwa wingi.
Vazi n utambulsho,
Nawasilisha.
Vazi n utambulsho,
Nawasilisha.